MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

MSHINDI WA PILI WA AIRTEL TRACE MUSIC NA NI MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI MELISA JOHN AMERUDI BONGO NA HABARI NJEMA

Finali za Airtel Trace Music Star zilifanyika Lagos June 11 2016, fainali ambayo ilikuwa na washiriki kutoka mataifa tisa kutoka bara la Africa, ambapo mshindi wa pili kwenye mashindano hayo alikuwa ni Melisa John kutokea Tanzania, June 12 2016 Melisa amekutana na Ayo TV na amefunguka hii good news ambayo Jaji Mkuu wa shindano hilo Keri Hilson kutoka Marekani amemuhaidi

‘Kitu cha mwisho ambacho nilisahau kukiongelea ni zawadi ambayo nimeipata kule cha kwanza nimeweza kuzawadiwa dola elfe 20 ambayo hii pesa tunawekewa kwa ajili ya airtime kama nitatoa video itapata kupigwa kwenye TV ya Trace cha pili ni Jaji Mkuu Keri hilson aliniambia amependa jinsi ninavyoimba na amesema ataniandikia wimbo‘>>>Melisa John