MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

VIDEO# PAUL CLEMENT KUOA 2018,NIKWELI ANA MANAGEMENT MPYA,ANASEMAJE KUHUSU MPENZI WAKE?

Star wa muziki wa gospel Tanzania Paul Clement amefunguka na kueleza kwa nini aliamua kutoka kwenye kusimamiwa kazi zake na ndugu Prospar mwakitalima na kuamia Fisher Record. Kwenye mahojiano yake na studio za unclejimmytz Paul aliweza kufunguka kuhusu maisha yake pamoja na mpenzi wake anaye tarajia kumuoa 2018. Pia aliweza kueleza mengi yanayo husu maisha yake pamoja na kusaini mkataba na kampuni mpya itakayo simamia kazi zake zote ikiwemo kusambaza na kuzitangaza kimataifa. Pia aliweza kueleza ni namna gani amekua akikabiliwa na changamoto ya kupendwa na wadada hasa anapokua kwenye huduma.
Ungependa kujua mengi kuhusu Paul Clement…….Kwa hisani ya Unclejimmytz tazama video hapo chini.