Select Menu

News

USIKOSE IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

USIKOSE IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

MLIMA WA MOTO JUMAPILI HII

MLIMA WA MOTO JUMAPILI HII

SARAH KUZINDUA ALBAM YAKE JUMAPILI HII

SARAH KUZINDUA ALBAM YAKE JUMAPILI HII

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » UJIO MPYA WA ASKOFU GWAJIMA KUZINDULIWA MBAGALA


Sanga Rulea 3:37 PM 0

Askofu Josephat Gwajima wa huduma ya Ufufuo na uzima hivi karibuni anatarajia kuanza mikutano yake ya Injili jijini Dar es salaam,Gwajima ambaye kwa sasa ameanza amchakato wa ujenzi wa kanisa lake anatarajia kuzindulia mikutano yake ya jijini Da es salaam eneo la Mbagala ulio pembezoni mwa jiji la Dar es salaam.Akitoa taarifa kwa jamii juu ya mikutano hiyo Gwajima ametanabaisha kuwa mwaka huu baada ya ukimya wa muda mrefu sasa anarudi tena.

Hapo awali mikutano hii ya Askofu Gwajima anayeaminika kuwa na waumini wengi kwenye kila Ibada zake ilikuwa ikikutanisha maelfu ya watu.Hpa nchini kwa siku za usoni mikutano ya Injili ya nje kwa ujumla imekuwa ikifanyika kwa nadra ukilinganisha na namna ilivyokuwa ikifanyika kwenye miaka ya 90, na hata iliyofanyika kipindi cha hivi karibuni imeshuhudiwa ikiwa na mwamko mdogo wa watu unless makanisa ya mahali pamoja yaamue kushirikiana na kufanya mkutano mmoja wa Injili.Tunaamini huu ni mwanzo mpya wa kurudisha zile zama za miaka ya 90.

Source: Hosanna Kwanza

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS