VIDEO: WAZIRI MWAKYEMBE HAJAPENDEZWA NA KAULI ZA WAPINZANI NA KAAMUA KUYATOA YA MOYONI
on
Get link
Facebook
Twitter
Pinterest
Email
Other Apps
Headlines za kutokea bungeni dodoma bado zinazidi kukufikia kwa wepesi zaidi kila kukicha, najua shauku ya wengi ni kuisubiria bajeti kuu ya mwaka 2016/2017 kusomwa hapo kesho June 8 2016. Lakini bado kuna mengi ya kuyajua yanayoendelea hivi sasa ikiwa ni pamoja na hii ya Waziri Harrison Mwakyembe.