MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

WANACHAMA WA CHAMA CHA MUZIKI WA INJILI TANZANIA WAMTEMBELEA MGONJWA OCEAN ROAD JIJINI DAR ES SALAAM

Kama ilivyokawaida ya waimbaji hawa wa nyimbo za Injili Tanzania kusaidia na kutembeleana pale wanapoona mwenzao amepatwa na jangwa. Siku ya leo waliweza kufika katika hospitali ya Ocean Road na kuweza kumuona mgonjwa ambaye ni ndugu yake na Octavian Mahembe mwamini wa kanisa la Yesu Kristo Huduma ya maombezi na Uponyaji Mbezi Salasala jijini Dar es salaam. Tuzidi kukiombea hiki chama kwa ushirikiano wao.
Kutoka kulia ni Octavian Mahembe, Stella Joel, Faraja Ntaboba na Godwin Maimu (Nnyaka)
 Mch. Lucy Wilson (katikati)