KASAKI SELEMANI AMEACHIA VIDEO YAKE YA TUNA USHUHUDA

Hatimaye ile video iliyokuwa inasubliwa na walio weng ya Kasaki Selemani sas imetoka. Video hii ambayo inayonyesha baadhi clip za waumini wa Mlima wa Moto Mikcheni "B" katika ubora unaokubalika. Naomba uiangalie sasa