Select Menu

News

MTUME DR. PETER NYAGA

MTUME DR. PETER NYAGA

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » KOLO TOURE AMEIHAMA RASMI KLABU YA LIVERPOOL


Sanga Rulea 1:32 AM 0

Headlines za usajili leo July 24 2016 zinamuhusu beki wa kati wa kimataifa wa Ivory Coast aliyewahi kuvichezea vilabu vya Arsenal, Man City na Liverpool Kolo Toure, jina la beki huyo leo limetangazwa kusajiliwa na klabu ya Celtic ya Scotland.

Beki huyo mwenye umri wa miaka 35 ametangazwa kusaini mkataba wa mwaka mmoja, hivyo hiyo itakuwa ni mara ya pili kwa Kolo Toure kufundishwa tena na kocha Brendan Rodgers ambaye amewahi kumfundisha katika kikosi cha Liverpool.


Toure akiwa katika ardhi ya England amefanikiwa kushinda mataji mawili ya Ligi Kuu na mataji matatu ya Kombe la FA “Toure nimemleta kwenye kikosi hichi cha vijana najua atawasaidia vijana na kuwa kiongozi mzuri kama ilivyo kwa Scott Brown ambaye amekuwa ni kiongozi mzuri katika timu” >>> Brendan Rodgers«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS