Select Menu

News

SHILOH TANZANIA 2016

SHILOH TANZANIA 2016

SHILOH TANZANIA 2016

SHILOH TANZANIA 2016

NABII OYII MWASAMBILI

NABII OYII MWASAMBILI

BONYEZA TANGAZO KUONA WATAKAOSHIRIKI UZINDUZI WA LILIANI KIMOLA

BEN BONGE CNCERT

BEN BONGE CNCERT

JIFUNZE KIFARANSA

JIFUNZE KIFARANSA

APOSTLE POPAPO ISRAEL

APOSTLE POPAPO ISRAEL

BONYEZA TANGAZO KUMPIGIA KURA HASSAN MBANGWA

BEATRICE KITALI VOTE

BEATRICE KITALI VOTE

SHILOH TANZANIA 2016

SHILOH TANZANIA 2016

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

VIDEO BOMBA ZA GOSPO: Bonyeza alama nyekundu kuona zingine

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

RUMAFRICA ELIMU

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » MAANDAMANO YA WAMAREKANI WEUSI YAPAMBA MOTO


Sanga Rulea 2:33 PM 0 


Wamarekani Weusi waliouawa na polisi Marekani, Alton Sterling (kushoto) na Philando Castile (kulia) enzi za uhai wao.

Maandamano ya Wamarekani Weusi nchini Marekani kupinga mauaji ya wenzao wawili yamechukua sura mpya baada ya kuingia siku ya tano huku polisi wakiwa katika tahadhari kubwa kutokana na kuwepo tetesi za mipango ya mauaji ya polisi wengine.

Tahadhari hiyo imekuja ikiwa ni siku chache baada ya mauaji ya polisi watano katika Mji wa Dallas.

Waandamanaji wenye hasira wameendelea kuandamana huko Baton Rouge, Louisiana, ambapo mfanyabiashara wa mtaani Alton Sterling alikamatwa na kupigwa risasi na polisi wawili Jumanne asubuhi.

Katika maeneo kadhaa nchini humo polisi wameendelea kuwakamata wananchi hao.

Waandamanaji katika eneo la St Paul, Minnesota ambapo Mmarekani mwingine mweusi, Philando Castile aliuawa na polisi mzungu waliwatupia fashifashi na mawe polisi na kuwajeruhi watatu.

Sehemu nyingine ambapo maandamano yanaendelea ni New York, San Francisco, Denver, Florida, Pittsburgh, Philadelphia, Salt Lake City na Rhode Island.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS