RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

‘MABASI YA HARAKA KUANZA KUTUMIA GESI’


Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.

Moja ya stori iliyoripotiwa ni hii kwenye gazeti la Habari Leo yenye kichwa cha habari ‘Mabasi ya haraka kuanza kutumia gesi’

#HabariLEO Imeelezwa kuwa awamu ya pili ya mabasi ya haraka yatatumia gesi asilia badala ya mafutapic.twitter.com/w8VzMn7g9X

Gazeti la Habari Leo limeripoti kuwa` msimamizi wa usambazaji gesi katika shirika la maendeleo ya petrol Tanzania (TPDC), Ismail Naleja, amesema awamu ya pili ya mabasi yaendayo haraka jijini Dar es salaam yatatumia nishati ya gesi asilia badala ya mafuta jambo litakalosaidia kupunguza gharama.

Kupitia gazeti hilo Naleja amesema matumizi ya nishati hiyo yataanza katika awamu ya pili ambapo mabasi mapya 200 ya mradi huo yanatarajiwa kuingizwa nchini.

Akizungumza katika maonesho ya 40 ya biashara ya kimataifa ya Dar es salaam yanayoendelea kwenye viwanja vya mwalimu Nyerere, kuhusu usambazwaji wa gesi katika magari, Naleja alisema hatua hiyo itaongezeka idadi