MCH. AMOSI AWACHANGANYA WAUMINI WA MLIMAWAMOTO MIKOCHENI "B" KWA UJUMBE MZITO ANAO UTOA KATIKA SEMINA YA WIKI YA KUKUMBUKWA NA MUNGU

Semina hii ya kukumbukwa naMungu imeanza siku ya Jumapili 17 na itahitimishwa siku ya Jumapili 24.07.2016. Katikati ya wiki inaanza saa 10 jioni na Jumapili itaanza saa 3 asubuhi. Usikose.