MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

MWANAMUZIKI SIZE 8 AFUNGUA SHULE YA CHEKECHEA

Mwanamuziki wa Injili nchini Kenya Size 8 hivi karibuni ameutanabaisha uma kwamba shule yake ya chekechea itakuwa ikiendeshwa pasipo wazazi kugharamia.Kwa Mujibu wa Size 8 shule hiyo iitwayo GOD GIFT KINDERGARTEN itakuwa ikitoa Sare za shule, Chakula na gharama zote za walimu zitakuwa Bure.
Dj Mo mume wa mwanamuziki huyo amesema hatua hii ya size 8 ni sehemu ya yeye kurudisha fadhila kwa jamii, lengo kubwa la shule hii ni kuwawezesha wazazi wasiokuwa na uwezo wa kulipa gharama za elimu ya Awali kwa watoto wao. Hatua hii ya Size 8 ni changamoto kubwa kwa wanamuziki wa Injili nchini Tanzania nao kufanya kwa sehemu zao.
Darasa la Wanafunzi wa GOD GIFT KINDERGARTEN