Select Menu

News

MTUME DR. PETER NYAGA

MTUME DR. PETER NYAGA

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » PICHA 2: JACKLINE WOLPER KAONDOKA UKAWA… SASA HIVI NI CCM


Sanga Rulea 1:40 AM 0

Msanii wa filamu kutoka Bongo Movie Jackline Wolper jioni ya July 23 2016 akiwa katika mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mjini Dodoma alitangaza rasmi kurudi CCM, Jackline Wolper alitangaza kurudi CCM wakati wa mkutano huo ambao ulikuwa na kazi ya kumkabidhi uenyekiti wa chama Rais Magufuli.
Mwenyekiti mstaafu wa chama cha mapinduzi CCM akizungumza jambo na mwigizaji Jackline Wolper.

Kama utakuwa unakumbuka vizuri Jackline Wolper katika uchaguzi mkuu uliopita 2015, alikuwa akimuunga mkono mgombea urais wa CHADEMA Edward Lowassa ambaye alikuwa anaungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ila kwa sasa ameamua kurudi CCM.


Picha zimetoka gazeti la Mwananchi.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS