MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

PICHA ZA FLORA SHINDINGA AKIZINDUA ALBAM YAKE YA BWANA NAKUSHUKURU SIKU YA JUMAMOSI 23/07/2016 MBEZI BEACH

Hatimaye Flora Shindinga aliweza kumshukuru Mungu kwa kumsaidia kumaliza albam yake "Bwana       Nakushukuru" katika kanisa la AICT Mbezi Beach jijini Dar es salaam siku ya Jumamosi 23/07/2016. Tamasha hili lilihudhuriwa wa watu wengi pamoja na waimbaji mbalimbali. Flora mbali na kuwa mwimbaji binafsi pia ni mwimbaji wa kwanya wa kanisa la AICT Mbezi Beach. Unaweza kuwasiliana naye kwa Simu +255 754 875 190