MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

PICHA ZA MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI GODWIN MAIMU WA ARUSHA AKIWA UINGEREZA AKIPOKEA MASTERS YAKE


Mwimbaji wa nyimbo za Injili Godwin Maimu aliweza kumshukuru Mungu kwa matendo makuu aliyo mtendea katika maisha yake. Mwezi Julai 2016 akiwa nchini Uingereza katika Chuo kikuu  UNIVERSITY OF BRADFORD aliweza kupokea Masters of Science in Economics and Finance for Development. Pia Mungu amemsaidia kupata kazi nzuri na ni Manager wa Bank ya CRDB kanda ya kasikazini. Mbali na hayo pia Mungu amemsaidia kufungua studio yake inayoitwa God Win Nnyaka Production iliyopo jiji Arusha, kwa kupitia studio hiyo ameweza kurekodi albamu zake kama Leo Kwako Kesho Kwangu na Nimekusamehe. Kama utahitaji kufanya kazi katika studio yake wasiliana naye kwa namba ya simu 0713 019 455