TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

PICHA ZA NABII RICHARD GODWIN WA HUDUMA YA KITUME NA KINABII SHILO MBEZI BEACH

Nabii Richard Godwin wa Huduma ya Kitume na Kinabii Shilo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam na  Kituo cha Goigi karibu na Sharmo Park House Dodoma Swaswa karibu na Mabwawa Manne, Mungu amempa neema ya pekee katika huduma yake ya kitume na kinabii. Kupitia huduma hii watu wanafunguliwa na kupokea miujiza yao. Watu wenye shida mbalimbali wameweza kupokea majibu yao kupitia maombezi.
Unakaribishwa sana wewe ambaye hujawahi kukutana na mtumishi huyu wa Mungu ili upokee unabii wako na uponyaji wako. Inwezekana unapitia magumu na umejaribu kuhangaika sehemu mbalimbali na hujapata jibu, basi siku ya leo wasiliana na huyu mtumishi wa Mungu naye ataomba na wewe na utapokea majibu yako. Mungu kaubariki sana na abariki kazi ya mikono yako.
 Nabii Richard Godwin akiongea


 Nabii Richard  Godwin akihubiri

 Nabii Richard Godwin akiombea