Select Menu

News

SHILOH TANZANIA 2016

SHILOH TANZANIA 2016

SHILOH TANZANIA 2016

SHILOH TANZANIA 2016

NABII OYII MWASAMBILI

NABII OYII MWASAMBILI

BONYEZA TANGAZO KUONA WATAKAOSHIRIKI UZINDUZI WA LILIANI KIMOLA

BEN BONGE CNCERT

BEN BONGE CNCERT

JIFUNZE KIFARANSA

JIFUNZE KIFARANSA

APOSTLE POPAPO ISRAEL

APOSTLE POPAPO ISRAEL

BONYEZA TANGAZO KUMPIGIA KURA HASSAN MBANGWA

BEATRICE KITALI VOTE

BEATRICE KITALI VOTE

SHILOH TANZANIA 2016

SHILOH TANZANIA 2016

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

VIDEO BOMBA ZA GOSPO: Bonyeza alama nyekundu kuona zingine

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

RUMAFRICA ELIMU

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » POLISI YASEMA TRAFIKI ALIYEUWAWA KIJITONYAMA SIO YULE MWENYE MBWEMBWE


Sanga Rulea 1:23 AM 0


Usiku wa July 22 2016 ilisambaa taarifa ya kupigwa risasi Askari wa kikosi cha usalama barabarani wa kituo cha Polisi Oysterbay Kinondoni Dar es salaam ambapo alipigwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa ni wahalifu wakati akiwa kazini katika eneo la Sayansi Kijitonyama.

Kutokana na mauaji hayo kutokea kwenye eneo la Sayansi taarifa zilizosambaa mitandaoni zilianza kumuhusisha na tukio hilo Askari mwingine wa barabarani aitwae Ashraf ambaye wengi ndio wamezoea kumuona kwenye eneo hilo kwa mbwembwe zake za kukimbiza foleni.

Baada ya kusambaa kwa taarifa kwamba aliyeuwawa ni yule Trafiki mchangamfu kwenye taa za barabarani Kijitonyama, millardayo.com imempata kamishna wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam Simon Sirro kujua ukweli.

Kamanda Sirro amesema aliyeuwawa ni mwingine aitwae Mensah na sio yule Trafiki mwenye mbwembwe (Ashraf Shaban) ambaye amejipatia umaarufu hivi karibuni kutokana na uchangamfu wake barabarani na spidi yake ya kuondoa foleni akiwa kazini.

Rest in peace kwa Sajenti Mensah

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS