MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

SEND OFF PARTY YA BINTI WA DANIEL KULOLA YAFANA

June 30, 2016 Usiku wa kuamkia leo Julai Mosi, 2016, ilikuwa siku ye furaha kwa Bi.Happness Daniel Kulola (kushoto), ambapo ilikuwa ni siku ya sherehe yake ya “Send Off” iliyotoa fursa kwa Wazazi,Walezi, ndugu jamaa na marafiki zake kujumuika pamoja Jijini Mwanza na kumuaga rasmi kabla ya kufunga pingu za maisha.

Happyness anatarajia kufunga pingu za maisha na mchumba wake, Richard Jeremia, leo jumapili Julai 03,2016 katika Kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo Sabasaba Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza, chini ya Mchungaji Dkt.Daniel Moses Kulola.


Happiness Daiel Kulola Akiingia Ukumbini


Kaka akimleta dada


Shangwe


Brother John Kulia, naye alikuwepo tukioni


Ufunguaji wa shampeni somtimes unahitaji Mbwembwe


Keki ikienda kwa wazazi


Mchungaji Daniel Moses Kulola akifanya maombi


Happy akiwa na Mume Mtarajiwa

Picha zote kwa hisani ya Sunday Shomari.