MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

TANZIA: RAIA WA AFRIKA KUSINI AFARIKI AKIPANDA MLIMA KILIMANJARO

Gugu Zulu (kushoto) akiwa na rafiki yake muda mfupi kabla ya kuanza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro katika kampeni ijulikanayo kama Trek4Mandela ikiwa na lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya kununua taulo za watoto wa kike pamoja na kusherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mwasis wa taifa la Afrika Kusini, Hayati Nelson Mandela. 

Raia wa Afrika Kusini waliopanda Mlima hivi karibuni kwa lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya kununua taulo za kusaidia watoto wa kike. Aliyechuchumaa mbele (mwenye kofia) Gugu Zulu ndiye anatajwa kufariki Dunia wakati akielekea Kileleni.


Gugu Zule (Kulia) akiwa na Richard Mabaso muda mfupi kabla ya kuanza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro.
Gugu Zulu akiwa katika lango la Marangu akipata picha na mmoja wa washiriki wa safari hiyo muda mfupi kabla ya kuanza kupanda Mlima Kilimanjaro.