TAZAMA PICHA MTANGAZAJI WA HABARI MAALUM FM NA MWANDISHI WA HOSSANAKWANZA MKOANI ARUSHA METHOD CHARLES AKIMVISHA PETE YA UCHUMBA ANITHER JULIU


Method Charles Mtangazaji wa Habari maalum fm kulia akiwa anamvisha pete ya Uchumba Anither Julius katika kanisa la ICM mkoani Dodoma
Anither Julius baada akionyesha Pete ya Uchumba baada ya kuvishwa na Method Charles Mtangazaji wa habari maalum fm Arusha
Anither Julius akiwa katika pozi nje ya kanisa la ICM mkoani Dodoma baada ya kutangaza uchumba