RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

TD JAKES ATANGAZA RASMI KUWA JOYOUS CELEBRATION WATAREKODI DVD YAO YA 21 DECEMBER 2016 NCHINI MAREKANI



Jumapili ya Jana 17.7.2016 akiwa kanisani Kwake Potters House Bishop Td Jakes aliweka wazi zile tetesi kuwa Joyous Celebration wanampango wa kurekodi DVD yao ya 21 nchini Marekani.Akiongea wakati wa ibada kanisani kwake Bishop jakes amesema Kundi la Joyous Celebration linajulikana sana nchini Afrika ya Kusini mwaka huu mwezi wa 12 kundi hilo kwa kushirikiana na team ya kanisani kwake Potters House Choir wataandaa live recording ya 21 jijini Dallas.

Katika Ibada hiyo nchini Marekani iliyohudhuriwa na mmoja wa viongozi wa Joyous Celebration Lindelani Mhize pichani juu, Bishop Td Jakes alimuita Lindelani mbele ya madhabahuni na kisha akaanza kusema maneno hayo.Hatua hii ni hatua kub w asana kwa Joyous Celebration kwa kuwa itawapa nafasi ya kuzidi kujitangaza kimataifa na kupanua fan base ya muzi ki wao duniani.Viva Jesus, Viva Africa, Viva Joyous