RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

VIDEO: BAADA YA KUKAA SIKU 2 MFULULIZO, CHADEMA WAMEKUJA NA HILI

July 27 2016 Kamati kuu ya chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMAkikiongozwa na mwenyekiti wake Freeman Mbowe kimekutana na waandishi wa habari Dar es salaam na kutangaza kufanya mikutano ya hadhara tarehe 1 september 2016, mikutano ambayo itafanyika nchi nzima. Ikumbukwe hivi karibuni Serikali ilitangaza kupiga marufuku mikutano yoyote ya kisiasa hadi 2020.

‘Kwasababu mikutano na shughuli za hadhara ni haki ya kidemokrasia katika taifa na sisi kama chama kikuu cha upinzani tunatambua mikunono ni mahala sahihi, CHADEMA tunatangaza september 1 2016 tutafanya mikutano ya hadhara‘-Freeman Mbowe