Select Menu

News

MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI HII

MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI HII

MTUME DR. PETER NYAGA

MTUME DR. PETER NYAGA

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » VIDEO: M ARAFIKI WAUNGANA KUSAKA VIBAKA WALIOIBA KINANDA CHA THAMANI CHA MPIGAJI WA JOYOUS CELEBRATION,


Sanga Rulea 5:51 PM 0

Lungelo akiwa anapapasa kinanda chake kabla ya kuibiwa wiki jana
Aliyekuwa mpigaji wa kinanda cha kati piano wa kundi la Joyous Celebration Lungelo Ngcobo amejikuta katika wakati mgumu jumamosi iliyopita baada ya kundi la vibaka wasiofahamika kuvunja kioo cha gari yake ni kuiba kinanda chake cha thamani aina ya Nord stage 2 chenye thamani ya takribani milioni 10 za Tanzania.
Kupitia ukurasa wake wa Facebook mpigaji huyo alitoa tangazo hilo la wizi ambao umetokea kuwasikitisha wengi hasa kutokana na namna kijana huyo anavyojulikana kwa kupenda kazi yake na muziki kwa ujumla. Ambapo hii yawezekana ikawa moja ya historia kuandikwa, marafiki na ndugu na jamaa wa kijana huyo wanayemfuata kwenye ukurasa wake wa Facebook wameamua kutangaziana kukisaka kinanda hicho mpaka kipatikane ikiwa pamoja na kutwajwa sehemu zote zinazohusika na kununua vitu vya wizi na watu ambao wanahusika katika kuviuza vitu hivyo. Ushirkiano ambao marafiki hao wameuonyesha mpaka sasa unaonekana utazaa matunda hasa baada ya taarifa kuanza kupatikana kuhusiana na kuonekana mtu akikiuza kinanda hicho.


Lungelo alianza kuonekana katika jukwaa la Joyous kuanzia album ya 17 na amemaliza mkataba wake mwaka huu mara baada ya kurekodi nao album ya 20 mapema mwezi Decemba mwaka jana. Kwasasa anajihusisha na muziki katika makanisa na sehemu mbalimbali ambakoan anaalikwa katika kuongoza muziki. Kijana huyu pia mapema mwaka jana alishinda kinyang'anyiro cha mpigaji bora wa piano nchini Afrika ya kusini.«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS