Select Menu

News

MTUME DR. PETER NYAGA

MTUME DR. PETER NYAGA

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » VIDEO: MTANZANIA ALIYETUNUKIWA TUZO YA HESHIMA YA VIONGOZI WA KESHO AUSTRIA, KAYAONGEA HAYA


Sanga Rulea 4:35 PM 0


Tanzania bado inaendelea kufanya vizuri kimataifa ambapo hivi karibuni iliingia kwenye headlines ya Mtanzania Seleman Kitenge kutunukiwa tuzo na Crans Forum vienna (Austria).

Seleman anaingia kwenye list ya kuwa mtanzania wa kwanza kutunukiwa tuzo hiyo zilizoanzishwa tangu mwaka 2010 ambapo atapata fursa ya kushiriki mikutano mbalimbali ya kimataifa.

Sasa Mtanzania huyu alikutana na Ayo TV na kueleza sababu zilizompelekea kutunukiwa tuzo hiyo ni kutokana na ushiriki wake wa mijadala mbalimbali ya kimaendeleo katika nchi za Russsia, Moroco na Azerbaijan, ndipo wadau wakapendekeza jina lake katika tuzo hizo pia ametoa wito kwa vijana wengine na kusema………

>>>‘Napenda kutoa wito kwa vijana wenzangu kuwa na uvumilivu na kuwa na moyo kujitolea katika programu mbalimbali za kulisaidia Taifa kama alivyosema katibu wa umoja wa mataifa kuwa hakuna jambo linatuhusu sisi bila sisi vijana’- Kitenge


«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS