RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

VIDEO: WATU NA VIPAJI VYAO, JK COMEDIAN KAITENDEA HAKI SAUTI YA HAYATI MADIBA

Msanii JK Comedian ni moja ya vijana wa kitanzania waliobarikiwa kuwa na kipaji cha kipekee ikiwemo uwezo wake wa kuigiza sauti za watu tofauti wakiwemo watu mashuhuri duniani, hapa jamaa ametisha kwa kuigiza sauti ya Rais wa zamani wa Afrika kusiniNelson Mandela ambaye siku  July 18 1918 alizaliwa.

Ukimaliza kuitazama hii video hapa chini ntaomba unidondoshee comment yako kuniambia jamaa ametisha kwa asilimia ngapi…