Select Menu

News

MTUME DR. PETER NYAGA

MTUME DR. PETER NYAGA

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » EMMANUEL MBASHA AWEKA WAZI KUWA KWA SASA HAWASILIANI NA FLORA MBASHA


Sanga Rulea 12:10 AM 0


Mwanamuziki mahiri nchini Emmanuel Mbasha siku ya Jana kupitia East Africa Television akiwa sambamba na mtangazaji Sam Misago aliitambulisha rasmi video ya wimbo wake wa Haribu Mipango ya Shetani.Mbasha alikuwa mgeni wa kwanza kuingia katika kipindi cha Weekend Showakiwa na lengo la kuitambulisha video yake hiyo mpya iliyotengenezwa na Director Pablo na Audio imetengenezwa na mtayarishaji nguli nchini Mtu Mzima Kameta.

Kama ilivyokuwa matarajio ya wengi swali kubwa ambalo Sam Misago alikuwa akilirudia rudia mara kwa mara ni kuhusu uhusiano alionao na mke wa Emmanuel Mbasha namaanisha Flora Mbasha.Kuhusu hili Emma hakutaka kabisa kuyaongelea maisha ya ndoa yake kupitia television, lakini kutokana na presha ya maswali ya Misago ilibidi Mbasha aweke wazi kuwa kwa sasa hawasiliani na mkewe Flora japokuwa amekiri kuwa kwa upande wake hana mpango wa kuoa kwa sasa bado yuko single.

Mwanamuziki huyo alipoulizwa nini hasa kilipelekea yeye kutotaka na kukimbia interviews na vyombo vya habari kwa muda mrefu Emmanuel Mbasha alisema kwa kipindi kile cha kesi yake mawakili wake hawakutaka afanye hivyo, ila kwa sasa yuko huru mara baada ya kushinda kesi hiyo na akamshukuru Mungu na watanzania kwa kumumbea.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS