MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

MAMA LILIAN NNKO AKITOA SADAKA YA SHUKRANI KWA MUNGU KWA AJILI YA MAMA YAKE MZAZI KUTIMIZA MIAKA 90 SIKU YA JUMAPILI KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

Mama Lilian Nnko mwamini wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" siku ya Jumapili 14.08.2016 katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" aliweza kutoa sadaka yake ya shukrani kwa Mungu kwa kumuwezesha mama yake mzazi kufikia miaka 90. Alimshukuru sana Bishop Dr. Gertrude Rwakatare kwa maombezi yake juu ya mama yake mzazi. Bibi naye alimshukuru sana Mungu na pia kumshukuru Bishop Dr. Gertrude Rwakatare kwa msaada wake wa maombi juu ya afya yake. Bibi huyu kwa mkono wake aliweza kutoa sadaka yake ya shukrani kwa Mungu.
Bishop Dr. Gertrude Rwakatare (kulia) akiwa na bibi mwenye umri wa miaka 90 (katikati)

Mama Lilian Nnko (kulia) akiwa na mama yake mwenye umri wa miaka 90 (katikati)