RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MAMBO 6 AMBAYO WATU WENYE MAFANIKIO HAWAPOTEZI MUDA KUYAFANYA.


1. Hawapotezi muda kwenye mitandao ya kijamii.
2. Hawapotezi muda kufikiria makosa yaliyopita.
3. Hawapotezi muda kuanza siku bila kuipangilia.

Soma: Dalili Kuu 7 Zinazoonyesha Mtu Ambaye Atachelewa Sana Kufanikiwa.

4. Hawapotezi muda kufikiria mambo yanayofanywa na wengine.
5. Hawapotezi muda kuwa na watu hasi.
6. Hawapotezi muda kwa mambo wasiyoyaweza kuyatawala.