RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

VIDEO: MASANJA MKANDAMIZAJI AFUNGA NDOA







Masanja akivishwa pete na mke wake.

Mke wa Masanja aitwaye Monica.



Gari la maharusi likiwasili kanisani.


Dk. Tulia Ackson naye alikuwepo


MCHEKESHAJI wa kundi la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’, leo ameuaga ukapera kwa kufunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu aitwaye Monica.

Ndoa hiyo imefungwa katika Kanisa la Mito ya Baraka lililopo Jangwani jijini Dar es Salaam.

Miongoni mwa wageni waliohudhuria harusi huyo ni pamoja na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Dk. Tulia Ackson