MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

MHESHIMIWA DKT. MARY MWANJELWA AWAOMBA WATANZANIA KULIOMBEA TAIFA KATIKA IBADA YA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

Mheshimiwa  Dkt. Mary Mwanjelwa akiwa katika ibada ya Mlima wa Moto Mikocheni "B" kwa Bishop Dr. Gertredu Rwakatare aliweza kumshukuru Mungu kwa matendo makuu anayotendewa katika maisha yake, pia aliwaomba waamini wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" na Watanzania wote kumuombea Rais wa Jamuhuri ya Tanzania  Mh. John Pombe Magufuli pamoja na Taifa zima kwa ujumla kuwa na amani pamoja na upendo 

Mbali na hapo pia aliweza kumshukuru  Bishop Dr. Gertrude Rwakatare kwa huduma aliyo nayo  na anavyojituma kulitumikia Taifa la Tanzania na kuliombea 
Mh. Mary Mwanjelwa(kulia) na Bishop Dr. Gertrude Rwakatare (kushoto)
Mh. Mary Mwanjelwa
 Mh. Mary Mwanjelwa akielekea sehemu yake ya kukaa baada ya kumshukuru Mungu
Mh. Mary Mwanjelwa ( kulia ) Mch. Prisca (kushoto )