Select Menu

News

IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI HII

MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI HII

MTUME DR. PETER NYAGA

MTUME DR. PETER NYAGA

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » PAPA FRANCIS AWATEMBELEA WALIOKUA MAKAHABA ZAIDI YA 20 ROMA


Sanga Rulea 5:07 PM 0
Roma, Italia

Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amewashangaza makahaba wa zamani 20 alipowatembelea katika ziara ya kushitukiza kwenye makazi yao yenye ulinzi mjini Roma. Papa Francis alizungumza na wanawake hao, ambao baadhi yao walisafirishwa kutoka Afrika na maeneo mengine ya Ulaya, kwa muda wa zaidi ya saa moja.

Wanawake hao waliokolewa kutoka kwenye madanguro walikokuwa wametekwa na mwanamume aliyekua akiwauza kama makahaba na sasa wamepewa makazi na ulinzi katika jengo la ghorofa linalomilikiwa na kanisa katoliki katika Mji Mkuu wa Italia.

Papa Francis mwenye umri wa miaka 79 amekua akirejelea mara kwa mara kwamba biashara ya kuwasafirisha binadamu “ni uhalifu dhidi ya binadamu”.


Papa Francis aliketi na wanawake hao, wakiwemo wanaigeria saba, waromania sita na wanne kutoka Albania, na kusikiliza habari zao kuhusu namna walivyo lazimishwa ukahaba, ulisema utawala wa Vatican.

Wengine watatu katika kundi hilo wanatoka Italia, Tunisia na Ukraine.

Wote pamoja walikua na umri wa takriban miaka 30 na ”walinyanyaswa sana kimwili” na sasa wanaishi chini ya ulinzi, umesema uongozi wa Vatican.

Kwa ahadi za ajira, wanaofanya biashara ya kuwasafirisha binadamu huwaleta wanawake Italia na nchi nyingine za Ulaya magharibi , lakini baadae huwalazimisha kuingia ukahaba.

Papa Francis aliwatia moyo makahaba hao wa zamani “kuwa thabiti” wakati wanapoanza maisha mapya kwa usaidizi wa kituo cha Papa Pope John XXIII.
45SHARESå

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS