MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

PICHA ZA MATUKIO YA SEMINA YA UCHUMBA NA NDOA INAYOONGOZWA NA NABII RICHARD GODWIN NA MKE WAKE NABII ANGEL GODWIN

SIKU YA KWANZA

Ikiwa ni siku ya kwanza semina ya UCHUMBA NA NDOA iliyoandaliwa na kanisa la JEHOVAH MERCY MINISTRY OF TANZANIA kuanza 26.08.2016 katika ukumbi wa Beach Beach Ruaha 1 hapa jijini Dar es Salaam, kumekuwa na mwitikio mkubwa sana. Watu wamefika kujifunza kwa undani zaidi ya uchumba na ndoa kutoka kwa Nabii Richard Godwini na Nabii Angel Godwin. Semina inahitimshwa siku ya Jumapili 28.08.2016 katika ukumbi huo huo kwahiyo baada ya ibada kumalizika watu wataanza kupokea mafundisho yatakayoanza saa9 mchana. Njoo na umpendae kama ni mwanandoa na kaka hujaoa/kuolewa usikose kufika kwa maana baada ya semina hii utampata yule umpendae. Hakuna kiingilio kabisa.

Nabii Angel Richard (kushoto) na mum wake Nabii Richard Godwin (kulia)

SIKU YA PILI