VIDEO: MAGOLI YA MECHI YA SIMBA SC VS AFC LEOPARD AUGUST 8, FULL TIME 4-0

August 8 2016 siku ya Simba Day ilihitimishwa kwa wekundu wa Msimbazi Simba kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya klabu ya AFC Leopard ya Kenya na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 4-0, magoli ya Simba yalifungwa na Ibrahim Ajibudakika ya 38 , 60 Shiza Kichuya dakika ya 66 na Laudit Mavugo.