Select Menu

News

MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI HII

MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI HII

MTUME DR. PETER NYAGA

MTUME DR. PETER NYAGA

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » » VIDEO: SIKU YA ENGAGEMENT YA KIJANA WA GOSPEL KITAA KATIKA PICHA


Sanga Rulea 1:23 AM 0


Hatimaye Gospel Kitaa imeanza kumeguka kwenye suala la ubachela, baada ya mmoja wao, Director John Maulid kumvisha pete ya uchumba mwanadada...


Home / Dar es salaam Gospel Choir / DGC / dvd / Kurasini / pentecoste / toleo / Video / KAA TAYARI KUWASIKIA WANA DGC WAKIWA NA DVD MPYA HIVI KARIBUNI

KAA TAYARI KUWASIKIA WANA DGC WAKIWA NA DVD MPYA HIVI KARIBUNI


Kama unajua uimbaji bora wa kwaya basi hapana shaka huwezi kukosa kuitaja moja ya kwaya inayofanya vyema kabisa katika kumtukuza Mungu kupitia waimbaji wake hodari na wapigaji, hawa si wengine bali ni Dar es salaam Gospel Choir (D.G.C) kutoka kanisa la Pentecoste kurasini jijini hapa.

Kama hujui ni kwamba kwaya hii ipo katika mchakato wa kumalizia kurekodi video yao mpya kabisa ambayo itakuwa ni toleo la nne. Tayari wameshamaliza kurekodi nyimbo kadhaa na kwamba zoezi hilo lipo ukingoni kabla haijatayarishwa na tayari kutolewa kwa wapenzi wa muziki wa injili kupata ujumbe wa Mungu kupitia waimbaji hao.

DGC wanasifika kwakuwa na waimbishaji wengi ama solo ambao wapo kwenye viwango lakini pia muziki na uimbaji wao kwa ujumla umefanyika baraka kwa wengi. Kama wewe ni mpenzi wa kwaya ama muziki wa injili na hauna matoleo ya kwaya hii, basi jiulize vizuri...Kaa tayari kupokea kutoka kwao DGC.

Angalia baadhi ya nyimbo wakati wakiendelea na kurekodi toleo jipya hivi karibuniTazama wimbo kutoka katika DVD yao ya pili

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS