Select Menu

News

USIKOSE IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

USIKOSE IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

MLIMA WA MOTO JUMAPILI HII

MLIMA WA MOTO JUMAPILI HII

SARAH KUZINDUA ALBAM YAKE JUMAPILI HII

SARAH KUZINDUA ALBAM YAKE JUMAPILI HII

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » 18.09.2016: MLIMA WA MOTO MIKOCHENI “B”: BISHOP DR. GERTRUDE RWAKATARE- MPO WENGI LAKINI MUNGU AMEKUCHAGUA WEWE


Sanga Rulea 6:23 AM 0

“Mpo wengi kwenye jamii lakini wewe umependwa na Mungu amekuchagua kati ya wengi. Mungu akakuokoa, akasema unafaa kuingia mbinguni, tunakila sababu ya kumshukuru Mungu, tumpe nini Mungu kwa upendo aliotupa, si kwa sababu unapesa, si kwa sababu wewe ni mzuri sana ni kwa neema tu Mungu ametuhurumia. Tumshukuru Mungu kwa uaminifu wake, tumshukuru Mungu kwa wokovu, tumshukuru Mungu kwa kutuchagua kuwa wateuli wake kwa ajili yake Mungu.”

Hivi ndivyo alivyosema mtumishi wa Mungu (Super Woman, Mtakatifu Mwenye Heri kama wadau wanavyomuita kwa sasa, Bishop Dr. Gertrude Rwakatare siku ya Jumapili 18.09.2016 katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni “B”. Unakaribishwa ibada ya Jumapili saa 3 asubuhi
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS