RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MARRIAGE REVIVAL DINNER PARTY 2018

MARRIAGE REVIVAL DINNER PARTY 2018

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

ASKOFU KILAINI ATOA MAZITO KUELEKEA UINJILISHAJI, TAIFA KUHAMIA KAGERA

Askofu msaidizi jimbo katoliki la jimbo la Bukoba Dr. Methodius Kilaini, amesema kuwa sasa ni nafasi ya kanisa hilo katoliki nchini na dunia kutumia nafasi ya sikukuu ya maadhimisho ya uinjilishaji Tanzania bara kujiimarisha katika uzinduzi utakaofanyika walipopatikana mapadre wa kwanza 15/08/1917 walioanza masomo yao mwaka 1904.

Akizungumza na HossanaKwanza.com juu ya maadhimisho hayo na hija ya Nyakijooga Misenyi, askofu Kilaini ametumia nafasi hiyo kuwaomba wananchi na wadau kuombea waathiriwa wa tetemeko la ardhi Kagera.