MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

BILLIONAIRE IS NOT MY FAMILY NAME BY MTUMISHI DAVID RPBERT

Billionaire is not my family name billionaire is not my nickname it's my status according to what I personal own and possess money,properties, business, stocks and share of different business capitals. Biblia inasema Yesu alishuka kuzimu swali ndani yangu hapo awali lilikuwa kwa nini kuzimu na sio moja kwa moja mbinguni kwa Baba yake? Majibu niliokuwanapata ni kwamba ili wenye haki wakifa wasiende tena kuzimu bali wawe na uzima wa milele. Kwa jibu hilo wala sikuwa nimekosea maana imeandikwa akazichukua funguo za UZIMA na MAUTI, je alipozichukua alikwenda nazo wapi? Kwanini ilikuwa muhimu azichukue? Haya ni maswali muhimu sanaa kwa sisi waamini, tena kama hujawai kujiuliza maswali hayo jiulize leo.


Majibu aliyonipatia Roho mtakatifu nataka nikushirikishe na wewe ili sote katika Bwana tuishi maisha ya ushindi. Roho Mtakatifu alinipeleka kwenye Neno hili kwamba baada ya Bwana Yesu kumnyang'anya shetani funguo za uzima na mauti( mamlaka ya uzima na mauti) ameiweka uwezo wa uzima na mauti juu ya kinywa cha mwamini, biblia inasema UZIMA na MAUTI vi juu ya kinywa chako. Uyatambuapo haya ndugu yangu katika Kristo usijinenee madhaifu wala usiruhusu mtu yeyote akunenee laana au udhaifu wowote kataa katika jina la Yesu. Anza kuanzia Leo kujitamkia baraka na itakuwa hivyo kwako sawa sawa na ukili wako. Mungu akubariki NAKUPENDA SANAA UFANIKIWE KATIKA YOOTEE KATIKA JINA LA YESU.