Select Menu

News

SHILOH TANZANIA 2016

SHILOH TANZANIA 2016

SHILOH TANZANIA 2016

SHILOH TANZANIA 2016

NABII OYII MWASAMBILI

NABII OYII MWASAMBILI

BONYEZA TANGAZO KUONA WATAKAOSHIRIKI UZINDUZI WA LILIANI KIMOLA

BEN BONGE CNCERT

BEN BONGE CNCERT

JIFUNZE KIFARANSA

JIFUNZE KIFARANSA

APOSTLE POPAPO ISRAEL

APOSTLE POPAPO ISRAEL

BONYEZA TANGAZO KUMPIGIA KURA HASSAN MBANGWA

BEATRICE KITALI VOTE

BEATRICE KITALI VOTE

SHILOH TANZANIA 2016

SHILOH TANZANIA 2016

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

VIDEO BOMBA ZA GOSPO: Bonyeza alama nyekundu kuona zingine

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

RUMAFRICA ELIMU

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » DARUBINI KUBWA KULIKO ZOTE DUNIANI YAANZA UCHUNGUZI WA SAYARI NA NYOTA


Sanga Rulea 11:57 PM 0


Mtu wangu umeshawahi kujiuliza Darubini kubwa kuliko zote duniani itakua inafananaje? Leo nakusogezea taarifa hii kutoka China juu ya Darubini kubwa zaidi duniani ambayo leo Sepetember 25, 2016 imeanza uchunguzi wa sayari na nyota katika mkoa wa Guizhou ulioko kusini magharibi mwa China.

Leo mchana, mamia ya wanaanga na mashabiki wa mambo ya anga wameshuhudia kuanza rasmi jukumu la darubini hiyo la kuchunguza anga la juu na kutafuta kama kuna maisha katika anga hiyo.

Mradi wa ujenzi wa darubini hiyo umeigharimu China kiasi cha dola za kimarekani milioni 180 na ulianza mwaka 2011, ikiwa ni miaka 17 baada ya kupendekezwa na wanaanga wa China.

Rais Xi Jinping wa China ametuma barua ya pongezi kwa wanasayansi, wahandisi, na wajenzi wa darubini hiyo mara ilipoanza rasmi kufanya kazi hii leo.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS