RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

HATIMAYE POLISI YAWAKAMATA MAJAMBAZI 3 HATARI DAR

Kamanda wa Polisi kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Simon Sirro akizungumza na wanahabari leo jijini Dar.

Silaha nzito na za moto zilizokamatwa




Wanahabari wakichukua matukio.


Makamanda wa Polisi wa Dar es Salaam wakiwa kwenye kikao hicho na wanahabari.


Kamanda Sirro akizungumza jambo.

Kamanda Sirro akionesha mtambo maalum uliokuwa ukitumiwa na majambazi hao kuharibu mawasiliano ya CCTV Kamera wakati wakifanya uhalifu kwenye majengo yenye kamera hizo.

Kamanda Sirro akionesha pingu walizokamatwa nazo majambazi hao





Haya ni magari ya wizi yaliyokamatwa.

Kamanda Sirro akifafanua jambo kwa wanahabari.

(PICHA ZOTE NA DENIS MTIMA/GPL).


35SHARES