Select Menu

News

TAMASHA LA MAOMBI

TAMASHA LA MAOMBI

UBUNGE

UBUNGE

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

JIFUNZE KIFARANSA

JIFUNZE KIFARANSA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » MAJALIWA AONGOZA HARAMBE KUCHANGIA WAATHIRIKA KAGERA


Sanga Rulea 2:08 PM 0

WAZIRI MKuu mheshimiwa Kassim Majaliwa jioni ya jana aliongoza harambe maalum iliyofanyika jijini Dar es Saalm ikiwakutanisha mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini, umoja wa wafanyabiashara na mtu mmoja mmoja aliyeguswa na tukio la tetemeko la ardhi mkoani Kagera lililopelekea maafa makubwa yakiwamo mauaji na uharibifu wa miundombinu.

Kwenye harambe hiyo iliyoudhuriwa pia na waziri wa viwanda na biashara mheshimiwa Charles Mwijage jumla ya pesa zilizochangwa ni shilingi za kitanzania 1,396,000,000/=.

Pesa hizo taslimu na ahadi zilizotolewa na wageni mbalimbali waalikwa. Ambapo zimetolewa katika mafungu yafuatayo milioni 700, milioni 600, Euro 10,000 na Dola 10,000 na kufanya jumla yake kuwa 1,396,000,000/= kwa pesa za Tanzania.

Pia wafanyabiashara wakubwa wa makampuni matatu tofauti wameungana na kuahidi kukamilisha ukarabati wa shule za sekondari za Ihungo na Nyakato ndani ya siku thelathini kuanzia leo, makampuni hayo ni Oil Com, GPP na Moyo Group.

Baadhi ya wafanyabiashara waliochangia michango yao ni pamoja na Regnald Mengi (Milioni 110), umoja wa wauza mafuta ya rejereja (Milioni 250), Kiwanda cha sukari Kagera (Milioni 100), IPTL (Milioni 100), China (Milioni 100) Dewji Foundation (Milioni 100), Mambo ya Nje (Milioni 10), Azania (Milioni 20).

Jumla ya fedha na ahadi zilizotolewa kuwasaidia waathirika tetemeko la ardhi ni takribani Sh1.4 bilioni pamoja na vifaa vya ujenzi«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS