MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

MKUTANO WA INJILI WA SIKU 8 MLIMA WA MOTO GEZAULOLE MWEMBE MGAMBO KIGAMBO WAKUSANYA MAMIA YA WATU

Ikiwa ni siku ya kwanza ya mkutano wa Injili wa siku 8 za Ishara na Miujiza kufanyika katika kanisa jipya la Mlima wa Moto Geza Ulole katika viwanja vya kanisa hilo vya Mwembe Mgambo Kigamboni, watu waliweza kujitokeza kwa wingi sana. Mama wa Upendo Bishop Dr. Gertrude Rwakatare aliweza kuhubiri Neno la Mungu ambalo liliwagusa walio wengi. Mc. Joshua Makondeko aliweza kuwasha moto kwa wimbo wa TutapitaKatikatiYao. Kanisa hili ambalo kwa mara ya kwanza tangia liongezewa ukubwa litawekwa wakfu na Bishop Dr. Gertrude Rwakatare. Tunakuaribisha sana katika mkutano huu wa Gezaulole na Mungu atakwenda kufanya mambo makuu katika maisha yako ya sasa na baadae.

 Mc. Joshua Makondeko