SHILO TANZANIA

SHILO TANZANIA

SHILO TANZANIA 2017

MWANAMKE MDOGO MWENYE NDEVU NDEFU ZAIDI DUNIANI

Harnaam Kaur (24) ameshinda Guinness World Records kwa kuwa mwanamke mdogo mwenye ndevu ndefu zaidi duniani ambapo ndevu zake zina urefu wa inchi 6.
Miss. Kaur ana tatizo la mfumo wa ovari (polycystic ovary syndrome) zinazotengeneza hormoni za uzazi na kusapoti mabadiliko ya ukuaji wa mwanamke, ambapo tatizo hilo humfanya mwanamke aote nywele ndefu za ziada sehemu mbalimbali za mwili ikiwemo ndevu kama anavyoota mwanamme

SHILOH TANZANIA 2017

SHILOH TANZANIA 2017