MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

PAPA AMTANGAZA MAMA THERESA KUWA MTAKATIFUVATICAN: Maelfu ya watu wameshuhudia ibada ya kutawazwa kuwa mtakatifu, Mama Teresa ambaye ametangazwa na Papa Francis jana.

Raia huyo wa Albania ambaye alifariki mwaka wa 1997 alianzisha shirika la hisani la kimishenari ili kuwasaidia walala hoi katika mtaa wa mabanda wa Calcutta nchini India.


Atajulikana kama mtakatifu Teresa wa Calcutta.
Waandishi wanasema kuwa maisha yake yanaenda sambamba na maono ya Papa Francis kuhusu kanisa linalojikakamua kuwasaidai watu masikini.