MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

PICHA/VIDEO: MAENDELEO BANK NA GRACE PRODUCT WAIDHAMINI GOSPEL STAR SEARCH 2016

Shindano la kusaka vipaji vya Gospel nchini Tanzania (GOSPEL STAR SEARCH) imeingia sura mpya baada ya Bank ya Maendeleo na Kampuni ya Grace Product kuingia Mkataba wa kudhamini Shindano hilo.
Tukio hilo limefanyika siku ya jana kwenye Hotel ya Regency iliyoko Mikochenio. Kwa hisani ya Jt TV Unclejimmytz inakupeleka moja kwa moja kwenye tukio lilivyo kuwepo pamoja na kutiwa saini kwa Maendeleo Bank na Grace Product.