MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

VIDEO: INASEMEKANA WAIMBAJI WA KUBWA WA GOSPEL WAJIPANGA UPYA.

Kuna wimbi kubwa la waimbaji wa Gospel ambao ujikweza kwa namna flani pasipo kujua mungu ana kanuni ya ajabu. Hili limejitokeza kwenye nusu fainali ya Gospel Star Search iliyofanyika viwanja vya Biafra Kinondoni…..Kwa baadhi ya waimbaji wakubwa waliofika katika viwanja hivyo walibaki wakidua na kusema Mungu anavipaji vingi. Ukweli huo ulifungwa mdomo na Flora Kachema kwa namna alivyo jaliwa Vocal kali na kufanya kila muimbaji wa Gospel kujioji mara mbili mbili. Niukweli usiofichika kuna kizazi kipya chenye ubora wake kinafanya vizuri na kushitua waimbaji wa kubwa….Leo naomba nikupatia Binti Flora Kachema akifanya Live kwenye nusu fainali iliyofanyika Biafra na kuibua hisia za watu wengi waliofika.

 enjoy video ya Flora hapo chini.