Select Menu

News

IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI HII

MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI HII

MTUME DR. PETER NYAGA

MTUME DR. PETER NYAGA

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » VIDEO: MAAMUZI YA CHADEMA WILAYA YA TEMEKE KWA DIWANI ALIYETUHUMIWA KWA UFISADI


Sanga Rulea 12:56 AM 0


Leo September 19, 2016 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA jimbo la Temeke kimechukua headlines baada ya kufanya maamuzi ya kumfukuza uanachama Diwani na Mwenyekiti wake kutoka kata ya Kurasini, Matiti Claudian Togocho kutokana na kashfa ya ufisadi wa zaidi ya shilingi milioni 400 alizozipata kwa njia ya udanganyifu.

Taarifa iliyotolewa na Benard Mwakyembe ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Temeke imeeleza kuwa mnamo November 23 2015, Diwani huyo akiwa na wenzake wanadaiwa walitengeneza hati feki ya nyumba tano za James Makundi aliyekuwa mpangaji kwenye nyumba zake kisha kufanya hujuma ya kuvunja nyumba hizo kwa amri ya uongo ilitolewa na wakili kishoka wa Samora Avenue badala ya amri ya mahakama ikiwa ni kwa lengo la kujipatia pesa kutoka kwa mwekezaji ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 200.

Diwani huyu pia anahusishwa na matukio mengine mawili ya udhulumaji wa zaidi ya shilingi milioni 140 za mirathi ya marehemu Peter Christian Kijeni wakati kesi ikiwa mahakamani pamoja na fedha za fidia za Paulina Shaban na wajukuu zake ambao Diwani huyo alisimamia nyumba zao kubomolewa.

>>>Kutokana na maamuzi ya chama baada ya kujiridhisha na makosa yake na kwa mujibu wa katiba ya chama chetu, mamlaka za mwisho zimefikia maamuzi ya kumvua uanachama wake hivyo atakuwa amepote>za sifa za kuwa Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa Mivinjeni pamoja na nafasi yake ya Udiwani katai ya Kurasini.- Benard Mwakyembe


«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS