Select Menu

News

MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI HII

MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI HII

MTUME DR. PETER NYAGA

MTUME DR. PETER NYAGA

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » VIDEO: MAJIBU YA WAZIRI NCHEMBA KWA MBOWE KUHUSU MADAI YA DENI LA TAIFA


Sanga Rulea 11:34 PM 0


Kumekuwa na headline za kwamba hivi sasa serikali ya Tanzania inadaiwa deni la taifa zaidi ya trilion 51 ambazo katika mgawanyo inaonyesha kwamba kila mtanzania atatakiwa kulilipa deni hilo, ishu imefikishwa hadi bungeni leo ambapo mbunge wa Hai Freeman Mbowe alitaka ufafanuzi wa jambo hili kutoka serikalini.

Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mwigulu Nchemba alisimama kumjibu Mbowe…>>>’Kwanza hakuna siku watanzania watagongewa milango wakigawanywa deni hilo la taifa, hakuna utaratibu wa taifa lolote kupima deni kwa kuangalia ujazo wa watu‘ -Waziri Nchemba

‘Lazima mjue kwamba serikali huwa haikopi kwa ajili ya matumizi ya kawaida bali serikali hukopa kwa ajili ya maendeleo ambayo itazalisha na kulipa deni hilo’–Waziri Nchemba

Video yote nimekuwekea hapa chini.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS