Select Menu

News

IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI HII

MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI HII

MTUME DR. PETER NYAGA

MTUME DR. PETER NYAGA

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » VIDEO: MALI ZA FREEMAN MBOWE ZILIVYOTOLEWA NJE YA JENGO KISA DENI LA BILIONI


Sanga Rulea 12:26 AM 0


Kituo cha TV cha Channel Ten kimeripoti kwamba September 1 2016 shirika la nyumba la taifa NHC limevamia na kuondoa vifaa katika chumba cha habari cha gazeti la Tanzania Daima linalomilikiwa na Mbowe Hotels chini ya Freeman Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa CHADEMA.

Kampuni ya udalali ikishirikiana na NHC ilitoa vifaa hivyo nje huku Wafanyakazi wa ofisi hiyo wakiwa kwenye hali ya kushangazwa ambapo meneja wa kitengo cha kukusanya madeni NHC alisema taratibu zote zilifatwa na Mbowe Hotels walishapewa notice sababu Mbowe anadaiwa BILIONI 1.72

Kampuni ya udalali iliyosimamia hilo zoezi imesema baada ya kuvitoa vifaa hivyo nje vikishachukuliwa kwa maelekezo ya NHC baada ya wiki mbili mmiliki asipolipa deni vitauzwa.

Ilisemekana Mbowe Hotels anao umiliki wa asilimia 75 ya jengo hilo lakini shirika la nyumba la taifa (NHC) limesema umiliki huo ulishafutwa, unaweza kutazama hii video hapa chini kutazama ilivyokua

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS