VIDEO: UKWELI KUHUSU TAARIFA ZA KUVULIWA UBUNGE MBUNGE MAGDALENA SAKAYAMoja ya taarifa zilizowahi kunukuliwa katika baadhi ya mitanao ya kijamii mara baada ya kuvunjika kwa mchakato wa kumtafuta Mwenyekiti wa chama cha siasa cha CUF ni pamoja na zile zilozodai kuwa chama hicho kimewaondoa baadhi ya wanachama wake akiwemo mbunge wa Kaliua Magdalena Sakaya.

Leo September 7 2016 Magdalena Sakaya alisimama bungeni kukanusha taarifa hizo, lakini pia Sakaya amekosoa muswada wa sheria ya upataji wa taarifa wa mwaka 2016 (The acess to information bill 2016) ulioanza kujadiliwa jana.

Unaweza kumsikiliza kwenye hii video hapa chini..