MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

WATUHUMIWA WA UHALIFU WALIOFIKISHWA KISUTU LEO


Baadhi ya watuhumiwa wa uhalifu wa makosa mbalimbali wakitoka kizimbani huku wakikwepa kamera ya paparazi wetu.


Mtuhumiwa akisindikizwa na askari wa Magereza baada ya kusomewa mashtaka yanayomkabili.

Watuhumiwa wakitoka kizimbani baada ya kusikiliza kesi zinazowakabili.

Watuhumiwa wakiendelea kukwepa kamera ya paparazi wetu baada kusikikiliza mashtaka yanayowakabili.

MTANDAO wetu leo ulitembelea Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam ambapo, miongoni mwa mambo mengine, ilijionea shughuli za mahakama hiyo zinavyoendeshwa na pia kupata fursa ya kunasa picha za baadhi ya watuhumiwa kadhaa waliokuwa wamefikishwa mahakamani hapo kukabili mashtaka yanayotokana na tuhuma mbalimbali.