Select Menu

News

IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI HII

MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI HII

MTUME DR. PETER NYAGA

MTUME DR. PETER NYAGA

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » 16.10.2016: CHRISTOPHER MWAHANGILA ALIVYOWEZA KUMTUKUZA MUNGU KATIKA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" SIKU YA JUMAPILI


Sanga Rulea 8:30 AM 0

Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kuweza kutuma ujumbe wake kupitia mtumishi wake Christopher Mwahangila. Jumapili ya tarehe16.10.2016 aliweza kutubariki kwa wimbo wake wa “Mungu ni Mungu tu”, hakika kanisa lilibarikiwa sana na mtumishi huyu wa Mungu. Mungu azidi kumuinua katika huduma yake ya uimbaji na maisha yake kwa ujumla. Mungu ampe kibali mbele za wanadamu na mbele zake mwenyezi Mungu. Huduma yake imefanyika Baraka kwa walio wengi.

Jumapili hii katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni “B” kutakuwa na ibada ya ISHARA NA MIUJIZA itakayoanza saa 3 asubuhi na kumalizika saa 9 mchana. Mwimbaji wa nyimbo za Injili Martha Mwaipaja atatuhudumia kwa njia ya uimbaji pamoja na Happy Kwaya na Joybringers Kwaya za Mlima wa Moto Mikocheni "B". Tunakukaribisha sana ili uwezi kupokea muujiza wako na utapa kuona ishara za mafanikio katika maisha yako. Uamuzi wako wa kufika kanisani a imani yako ndivyo vitakavyoleta majibu ya maswali yako katika maisha yako.

Usafiri ni bure kuanzia kituo cha mabasi cha Makumbusho au Mwenge kwenye mataa barabara ya kuelekea Coca Cola. Utasikia watumishi wa Mungu wakisema “Kanisa kwa Mama Rwakatare” ingia humo na watakufikisha salama. Mungu akubariki sana.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS